SOMA NASI, KUSOMA NA KUANDIKA KISWAHILI – KISWAHILI LITERACY PUPIL’S BOOK 1
Kshs 429.00
Kshs Loading...
Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 1
Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.
Katika Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 1, utapata:
โข mada zilizopangwa kwa kuzingatia mtalaa mpya
โข mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika
โข mazoezi nje ya darasa ili kuendeleza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji
โข mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
โข jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji
โข sehemu ya โTujifurahisheโ inayolenga kuwasisimua wanafunzi wanapotumia lugha.
ISBN : 9780195746945
Published : N/A
Language : Swahili
Publisher : Oxford University Press
Size :
Weight : N/A
1 in stock

