THELUJI NYEUPE NA MBILIKIMO SABA
Kshs 300.00
Kshs Loading...
Hadithi za ‘Ladybird’ zimesimuliwa kiva kuzingatia mikusanyiko ya hadithi za ‘Well-Loved Tales’ ambazo zinapendwa na wasomaji wengi sana.
Hadithi hizi za kipekee zimepambwa michoro maridadi ambayo inaleta ubora na uhondo wa masimulizi ya Ladybird kwa wasomaji wa kizazi kipya. Watoto kutoka kizazi hadi kizazi wamependa sana hadithi hizi, na watapata burudani zaidi kwa kuzisoma pamoja.
ISBN : 9780241331934
Published : N/A
Author : Ladybird Swahili
Language : Swahili
Main Material : Hardback
Publisher : Ladybird Books
Size :
Weight : N/A
675 in stock

