Availability: In Stock

MATESO YA JOHARI

Author: Ng'ang'a
SKU: 9789966342706

Kshs 315.00

Maisha yanapokuwa magumu kijijini, Johari anasaidiwa na Mzee Magufuli kuondokea hali hiyo. Anapoondoka kijijini, anakumbana na maisha tofauti; maisha yanayotisha na kuzubaisha. Je, Johari atayaepuka?

ISBN : 9789966342706

Published : N/A

Author : Ng'ang'a

Language : Swahili

Main Material : Paperback

Publisher : Moran (E.A.) Publishers Limited

Size :

Weight : N/A

2 in stock