Availability: In Stock

NYOTA YA KISWAHILI KITABU CHA MWANAFUNZI GRADE 1

SKU: 9789966511065

Kshs 345.00

Kitabu hiki kimedhamiriwa kutumika kama mfululizo wa vitabu vya ziada kwa Gredi ya Kwanza. Kimeandikwa kuambatana na mtalaa mpya. Kitabu hiki kimelenga kumwongoza mwanafunzi katika masomo yake ya lugha ya Kiswahili kwa kutimiza rnaarubu ya mtalaa wa kiwango husika. Ndani yake mna mbinu bora za ujifunzaji ambazo zitawaelekeza wanafunzi kuhusu njia bora za kutimiza malengo yao.

Kimezingatia stadi zote za kujifunza lugha, yaani:

  • Kusikiliza
  • Kuzungurnza
  • Kusoma
  • Kuandika
  • Msamiati
  • Sarufi

ISBN : 9789966511065

Published : N/A

Author : Bwanaheri A. Salim, Dorothy K. Nganje

Language : Swahili

Main Material : Paperback

Publisher : The Jomo Kenyatta Foundation

Size :

Weight : N/A

60 in stock