NYOTA YA KISWAHILI KITABU CHA MWANAFUNZI GREDI YA PILI
Kshs 345.00
Kitabu hiki kimedhamiriwa kutumika kama mfululizo wa vitabu vya kiada kwa Gredi ya Pili. Kimeandikwa kuambatana na mtalaa mpya. Kitabu hiki kimelenga kumwongoza mwanafunzi katika masomo yake ya lugha ya Kiswahili kwa kutimiza maarubu ya mtalaa wa kiwango husika. Ndani yake mna mbinu bora za ujifunzaji ambazo zitawaelekeza wanafunzi kuhusu njia bora za kutimiza malengo yao.
Kimezingatia stadi zote za kujifunza lugha, yaani:
- Kusikiliza
- Kuzungumza
- Kusoma
- Kuandika
- Msamiati
- Sarufi
- Umilisi wa kimsingi
- Maadili ya kimsingi
- na masomo mengine
- na shughuli za huduma za kijamii zinazochangia ujifunzaji
- na shughuli nyingine zilizoratibiwa za ujifunzaji
Kitabu hiki kimeandikwa na waandishi wenye tajiriba pevu. Wamekomaa kwenye stadi ya uandishi wa vitabu vya kiada.
Uwezo wa kuyashughulikia masuala mtambuko Zaidi ya hayo uchochezi huo huwafahamisha namna ya kulinganisha uhusiano wa mada waliyojifunza;
Mwanafunzi amepewa nafasi ya kujifunza mwenyewe kutokana na picha maridhawa, hadithi, mashairi na michezo murua. Ili kuzidisha hamasisho la ujifunzaji, mwongozo maalumu umeandaliwa ili kuwapa walimu mbinu thabiti za kuuchochea ujifunzaji miongoni mwa wanafunzi. Ili kutathmini kiwango cha ujifunzaji miongoni mwa wanafunzi kitabu hiki kimetoa mazoezi ya kutosha yatakayowawezesha kupata:
ISBN : 9789966511089
Published : N/A
Language : Swahili
Main Material : Paperback
Publisher : The Jomo Kenyatta Foundation
Size :
Weight : N/A
132 in stock