Kusoma Na Kuandika Katika Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi – Gredi Ya 3
Kshs 448.00
Kshs Loading...
Kusoma na Kuandika katika Kiswahili, Gredi 3 ni kimoja miongoni mwa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa kuzingatia mtaala mpya unaokuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa utendaji na uvumbuzi wa maarifa. Kitabu hiki kinawawezesha wanafunzi kupata maarifa ya kimsingi, stadi zifaazo za kusoma na kuandika, mienendo miema na maadili ya kimaisha pamoja na utumizi kamili wa maarifa wanayoyapata darasani. Shughuli na mazoezi katika kitabu hiki zimejikita kwenye uzoefu wa wanafunzi wa kila siku pamoja na masuala ya kisasa na ibuka kama yalivyofafanuliwa kwenye mtaala mpya. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha rahisi na inayoibua tafakari tanduizi ili kukuza ujuzi wa kutafakari na kuimarisha stadi za kimaisha za usuluhishaji wa matatizo ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi katika jamii.
ISBN : 9789966640161
Published : N/A
Author : Margaret Githui, Munira Abdullahi Hussein
Language : Swahili
Main Material : Paperback
Publisher : Longhorn Publishers
Size :
Weight : N/A
Out of stock
Delivery Information
We strive to ensure all orders are processed and delivered promptly.
- Order Processing: Orders are processed within 1–2 business days upon confirmation of order & payment.
- Delivery Timeline: Standard delivery typically takes 1–3 business days, depending on your location and courier availability.
- Shipment Updates: Once your order is dispatched, our sales agent shall contact you regarding the progress of your delivery.
- Delays: While we aim to deliver on time, unforeseen delays may occur due to customs clearance, courier challenges, or external factors. We will keep you updated should any delays arise.
Returns & Exchanges
We value your satisfaction and aim to make returns as smooth as possible.
- Eligibility: Items may be returned within 7 days of delivery, provided they are unused, in original packaging, and accompanied by proof of purchase.
- Non‑Returnable Items: Certain items such as story books / novels, offer / clearance products, personalized orders cannot be returned.
- Return Approval: All return requests must be reviewed and approved by our team before the item is sent back.
- Return Shipping: Return shipping costs are the responsibility of the customer unless the item received was damaged, defective, or incorrect.
- Refunds: Approved refunds will be processed within 5–7 business days after the returned item is inspected. Refunds are issued through the original payment method.
- Exchanges: If you wish to exchange an item, please contact us to confirm availability via our official EYS WhatsApp / call on +254 726 522 108.

