Damu Nyeusi Na Hadithi Nyingine
Kshs 480.00
Kshs Loading...
Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi usio wa kawaida. Umeleta pamoja waandishi stadi wenye macho makali, na wanaolenga moja kwa moja kwenye kiini bila hofu yoyote. Waandishi wanaotambulika kwa haraka ni kama vile Muhammed Said Abdulla, Said A. Mohamed, Ken Walibora, Farouk Topan na wengineo. Mkusanyiko huu pia haukuacha waandishi shupavu wanaochipuka kama vile Doreen Baingana, Mohammed Khelef Ghassany na wengineo.
Mkusanyiko huu umeshughulikia upana wa kimaudhui na mitindo mbalimbali ya uandishi. Isitoshe, waandishi wametumia vyema uhuru wa kisanii kwani hadithi mwanana ni kama ndoto ambayo haiwezi kulazimishwa kutii sheria hususa za ndivyo au sivyo. Kila hadithi katika mkusanyiko huu ni ya aina yake na itamsisimua, itamburudisha na kumfunza msomaji.
Utangulizi wa kina umetolewa kuhusu hadithi fupi ili kuwaelewesha wasomaji jinsi utanzu huu ulivyo tofauti na tanzu nyingine za fasihi
ISBN : 9789966344854
Published : N/A
Author : Ken Walibora, Said A. Mohamed
Language : Swahili
Main Material : Paperback
Publisher : Moran (E.A.) Publishers Limited
Size :
Weight : N/A
3 in stock
Delivery Information
We strive to ensure all orders are processed and delivered promptly.
- Order Processing: Orders are processed within 1–2 business days upon confirmation of order & payment.
- Delivery Timeline: Standard delivery typically takes 1–3 business days, depending on your location and courier availability.
- Shipment Updates: Once your order is dispatched, our sales agent shall contact you regarding the progress of your delivery.
- Delays: While we aim to deliver on time, unforeseen delays may occur due to customs clearance, courier challenges, or external factors. We will keep you updated should any delays arise.
Returns & Exchanges
We value your satisfaction and aim to make returns as smooth as possible.
- Eligibility: Items may be returned within 7 days of delivery, provided they are unused, in original packaging, and accompanied by proof of purchase.
- Non‑Returnable Items: Certain items such as story books / novels, offer / clearance products, personalized orders cannot be returned.
- Return Approval: All return requests must be reviewed and approved by our team before the item is sent back.
- Return Shipping: Return shipping costs are the responsibility of the customer unless the item received was damaged, defective, or incorrect.
- Refunds: Approved refunds will be processed within 5–7 business days after the returned item is inspected. Refunds are issued through the original payment method.
- Exchanges: If you wish to exchange an item, please contact us to confirm availability via our official EYS WhatsApp / call on +254 726 522 108.

