Availability: Out of Stock

KIJIJIJ CHA UMOJA

SKU: 9789966622594

Kshs 480.00

Makabila ya Wavuvi na Wakulima yanawindana kama paka na panya. Wakati wa uchaguzi, kila kabila linachagua mtu wao bila kujali sifa zake za uongozi. Kiongozi mpya anapigania maslahi ya waliomchagua akipuuza kabila jingine. Uhasama unazuka miongoni mwa wanaobaguliwa. Athari za vita vya_ kikabila vinalemaza maendeleo ya eneo. Soma kitabu ufahamu jinsi Binti Kitabu anavyotumia maarifa kupatanisha makabila haya na kufufua maendeleo.

 

ISBN : 9789966622594

Out of stock