Kiswahili Fasaha Kitabu Cha Mwanafunzi Gr9
Kshs 980.00
Kshs Loading...
Oxford Kiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala.
Oxford Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 9 kina:
Shughuli mbalimbali zitakazomwezesha mwanafunzi kupata stadi zote nne za lugha – Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika – pamoja na matumizi ya sarufi kimuktadha.
Sehemu za Zinduo ambazo zinatoa maelezo ya kina kuhusu dhana husika.
Sehemu za Elimujamii ambazo zinampa mwanafunzi nafasi ya kuendeleza ujifunzaji wake nje ya darasa.
Sehemu za Dijitika ambazo kwazo mwanafunzi ana nafasi ya kutangamana na vifaa vya kidijitali katika kufanya mazoezi.
Michoro ya rangi inayochangia uelewa wa dhana zinazofunzwa.
Tathmini binafsi baada ya kila mada kuu ili kumsaidia mwanafunzi kupima uelewa wake wa dhana husika.
Sehemu ya Tafakari mwishoni mwa kila suala kuu, ambayo inalenga kumpa mwanafunzi ari ya kutumia aliyojifunza ili kuboresha hali yake na ya jamii nzima.
Kila Kitabu cha Mwanafunzi katika msururu huu kina Mwongozo wa Mwalimu.
ISBN : 9789914442953
38 in stock
Delivery Information
We strive to ensure all orders are processed and delivered promptly.
- Order Processing: Orders are processed within 1–2 business days upon confirmation of order & payment.
- Delivery Timeline: Standard delivery typically takes 1–3 business days, depending on your location and courier availability.
- Shipment Updates: Once your order is dispatched, our sales agent shall contact you regarding the progress of your delivery.
- Delays: While we aim to deliver on time, unforeseen delays may occur due to customs clearance, courier challenges, or external factors. We will keep you updated should any delays arise.
Returns & Exchanges
We value your satisfaction and aim to make returns as smooth as possible.
- Eligibility: Items may be returned within 7 days of delivery, provided they are unused, in original packaging, and accompanied by proof of purchase.
- Non‑Returnable Items: Certain items such as story books / novels, offer / clearance products, personalized orders cannot be returned.
- Return Approval: All return requests must be reviewed and approved by our team before the item is sent back.
- Return Shipping: Return shipping costs are the responsibility of the customer unless the item received was damaged, defective, or incorrect.
- Refunds: Approved refunds will be processed within 5–7 business days after the returned item is inspected. Refunds are issued through the original payment method.
- Exchanges: If you wish to exchange an item, please contact us to confirm availability via our official EYS WhatsApp / call on +254 726 522 108.

