Availability: In Stock
UMOJA NI NGUVU JANI NGOLIMA
SKU: 9789966363145
Kshs 336.00
Kshs Loading...
Kidole kimoja hakivunji chawa, Ukwel[i wa methali hii umedhirika kupitia hadithi hii ya Umoja ni Nguvu. Hiki n1 kisa cha wanyama wawili dhaifu walioweza kumshinda adui yao mkali na mwenye nguvu kwa kushirikiana. Kitabu hiki kitawasaidia watoto kukuza uzoefu wa kusoma na kuimarisha mbinu za uandishi kando na burudani. Aidha,Kimeambatana na maadili mema ambayo jamii ingependa watoto waige
ISBN : 9789966363145
48 in stock

