Availability: Out of Stock

MUI HUWA MWEMA

SKU: 9789966497161

Kshs 452.00

Hii ni hadithi ya Kotini, kijana ambaye alikuwa mui-mwivi, mnyangianyi na mcheza kamari; na mwishowe akabadilika kabisa na kuwa mwema – mtu mwenye heshima na kuheshimiwa, tena mjenzi maarufu wa majumba. Pia ni hadithi ya Mashaka, msichana mzuri, wa umbo na tabia, ambaye maisha yake yanaingiliana na Kotini na kuathirika kwa mabaya na mwishowe kwa mema yake. Ilikuwaje hata Kotini akabadilika mwenendo na kuwa mtu mwema? Haya mwandishi anayaeleza kwa ustadi na ufasaha. Pia maelezo yake na msamiati alioutumia kuhusu ujenzi wa majumba utawapendeza na kuwanufaisha sana wanafunzi wa lugha ya kiswahili.

 

ISBN : 9789966497161

Out of stock