Availability: In Stock
KASUKU WA ZANI
SKU: 9789966635563
Kshs 278.00
Zani anamuomba baba yake amnunulie kasuku.Baba yake anakubali ombi la Zani.Zani anamtunza kasuku wake vizuri siku za kwanza.Baadaye, anaanza kusaha kumtunza.Anatumia muda mwingi kucheza.Je, ni mambo gani yatatokea?
ISBN : 9789966635563
28 in stock