Availability: In Stock
MCHEZO HATARI
SKU: 9789966635594
Kshs 278.00
Wanafunzi wa Gredi ya 6 wanaruka na kupinduka hewani.Mchezo huo unamfuruhisha Zani.Yeye ni mwanafunzi wa Gredi ya 3.Hajafunzwa mchezo huo.Je, itakuwaje Zani akijaribu kuruka?
ISBN : 9789966635594
28 in stock