Availability: In Stock
VITUKO VYA PANYA PANYA NA KIRIKUU – YAHYA
SKU: 9789966788665
Kshs 190.00
anya na Kirikuu ni kitabu kinachozindua msururu wa Vituko vya Panya. Panya, mgeni asiyetarajiwa, anafika nyumbani na kumkuta Kirikuu akicheza. Kirikuu yupo nyumbani peke yake. Kirikuu anaogopa panya sana. Panya anaingia ndani ya nyumba. Ni mtundu. Kirikuu atafanyaje? Yahya Mutuku ana uzoefu mkubwa wa kuandika vitabu vya fasihi ya watoto. Msururu huu ni thibitisho kwamba anaelewa mahitaji ya soko katika taaluma ya uandishi.
ISBN : 9789966788665
24 in stock