Availability: In Stock
ADILI NA ZAWADI ZA ZANI
SKU: 9789966633866
Kshs 278.00
Visa vya Kisasa ni mfululizo mpya wa vitabu vya hadithi. Mfululizo huu una hadithi za kuvutia. Vitabu hivi vimetungwa kwa kuzingatia Mtaala wa Kiumilisi Vimeandikwa kwa lugha ya kiwango cha mwanafunzi Vinakuza stadi ya kusoma baada ya kutumia vitabu vya kiada Vinamsaidia mwanafunzi kujifunza msamiati unaopendekezwa katika mtaala wa kiumilisi
ISBN : 9789966633866
18 in stock