Availability: In Stock

GOLDILOK NA MADUBU WATATU

SKU: 9780241331897

Kshs 300.00

Hadithi za ‘Ladybird’ zimesimuliwa kwa kuzingatia mikusanyiko ya hadithi za ‘Well-Loved Tales' ambazo zinapendwa na wasomaji wengi sana.

Hadithi hizi za kipekee zimepambwa michoro maridadi ambayo inaleta ubora na uhondo wa masimulizi ya Ladybird kwa wasomaji wa kizazi kipya. Watoto kutoka kizazi hadi kizazi wamependa sana hadithi hizi, na watapata burudani zaidi kwa kuzisoma pamoja.

 

ISBN : 9780241331897

Published : N/A

Author : Ladybird Swahili

Language : Swahili

Main Material : Hardback

Publisher : Ladybird Books

Size :

Weight : N/A

969 in stock