Availability: In Stock

HADITHI ISIYO NA MWISHO NA HADITHI NYINGINE – BARU

SKU: 126010994

Kshs 200.00

Katika hiki Kitabu cha Hadithi Isiyo Na Mwisho, mna hadithi fupi fupi ambazo zitaangazia wanafunzi mengi kuhusu lugha ya Kiswahili. Hiki kitabu kimetungwa kusaidia mwanafunzi kujifunza Kiswahili katika hali ya kujiburudisha. Kuna mengi ya kujifunza toka lugha, msamiati na hata utumishi wa misemo na methali. Mitindo tofauti ya ubunifu iliyotumiwa itawezesha mwanafunzi kuelewa mengi.

ISBN : 126010994

1 in stock