Availability: In Stock

HATIMA YA KUBUNI

Author: Hamed Simai
SKU: 9780195739596

Kshs 435.00

Wanasayansi, wanaramani mabingwa wameshindwa kutambua kilipokuwa kijiji cha Kubuni na kukiweka juu ya uso wa dunia. Kile wanachojua ni kuwa kijiji chenyewe kilikuwepo, ila sasa hakijulikani kitovu chake. Mzee Pepo tu ndiye aliyeshuhudia kijiji kikitokomea. Anaelezea masaibu yaliyokikumba kijiji hiki kwa namna itakayokuacha wewe msomaji
ukistaajabu …

Mwandishi, Hamad Simai, ni mwandishi mtajika wa riwaya na kazi nyingine za kubuni. Aidha, ni mtaalamu wa teknolojia nchini Zanzibar.

ISBN : 9780195739596

Published : N/A

Author : Hamed Simai

Language : Swahili

Publisher : Oxford University Press

Size :

Weight : N/A

3 in stock