Availability: In Stock
HEKAYA ZA ABUNUWAS NA HADITHI NYINGINE
SKU: 9789966344427
Kshs 632.00
Hekaya za Abunuwas na Hadithi Nyingine ni mkusanyo wa hadithi za kusisimua. Hadithi zilizomo zimesimuliwa kwa ucheshi wa hali ya juu. Hadithi hizi, vilevile, zina mafunzo muhimu ambayo yatamwongezea maarifa msomaji. Maadili yametukuzwa huku ujinga na maovu yakitwezwa.
ISBN : 9789966344427
Published : N/A
Author : Broomfield
Language : Swahili
Main Material : Paperback
Publisher : Moran (E.A.) Publishers Limited
Size :
Weight : N/A
8 in stock