Availability: In Stock

JAK NA MHARAGWE

SKU: 9780241331873

Kshs 300.00

Hadithi za ‘Ladybird’ zimesimuliwa kwa kuzingatia mikusanyiko ya hadithi za ‘Well-Loved Tales’ ambazo zinapendwa na wasomaji wengi sana.

Hadithi hizi za kipekee zimepambwa michoro maridadi ambayo inaleta ubora na uhondo wa masimulizi ya Ladybird kwa wasomaji wa kizazi kipya. Watoto kutoka kizazi hadi kizazi wamependa hadithi hizi, na watapata burudani zaidi kwa kuzisoma pamoja.

ISBN : 9780241331873

Published : N/A

Author : Ladybird Swahili

Language : Swahili

Main Material : Hardback

Publisher : Ladybird Books

Size :

Weight : N/A

771 in stock