Availability: Out of Stock

Kiswahili Dadisi Language Activities 4 Teacher Guide

SKU: 9780195747874

Kshs 452.00

Kshs Loading...

Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi kama ilivyopendekezwa katika mtalaa.

Vitabu katika msururu huu vina mazoezi murua ambayo yatamchangamsha mwanafunzi na kumpa hamu ya kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.

Kiswahili Dadisi, Mwongozo wa Mwalimu, Gredi 4, kina mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi
kukuza umilisi unaokusudiwa.

 

Katika mwongozo huu, utapata:
• utangulizi wa kina kuhusu mtalaa mpya wa umilisi
• muhtasari wa umilisi, maadili, masuala ibuka na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa ufundishaji katika kila sura
• matokeo maalumu, maandalizi ya somo na shughuli za ufunzaji wa kila somo
• mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi
• mapendekezo ya shughuli za kutekelezwa na wanafunzi ili waendelee kujifunza wakiwa nje ya darasa
• maswali ya ziada ili kukuwezesha kutathmini zaidi uelewa wa wanafunzi wako
• maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.

 

ISBN : 9780195747874

Published : N/A

Author : David Wafula, Evans Osoro, Francis Waititu, Jackline Ndege, Pauline Kea, Zephania Mucheria

Publisher : Oxford University Press

Size :

Weight : N/A

Out of stock

Delivery Information

We strive to ensure all orders are processed and delivered promptly.

  • Order Processing: Orders are processed within 1–2 business days upon confirmation of order & payment.
  • Delivery Timeline: Standard delivery typically takes 1–3 business days, depending on your location and courier availability.
  • Shipment Updates: Once your order is dispatched, our sales agent shall contact you regarding the progress of your delivery.
  • Delays: While we aim to deliver on time, unforeseen delays may occur due to customs clearance, courier challenges, or external factors. We will keep you updated should any delays arise.

Returns & Exchanges

We value your satisfaction and aim to make returns as smooth as possible.

  • Eligibility: Items may be returned within 7 days of delivery, provided they are unused, in original packaging, and accompanied by proof of purchase.
  • Non‑Returnable Items: Certain items such as story books / novels, offer / clearance products, personalized orders cannot be returned.
  • Return Approval: All return requests must be reviewed and approved by our team before the item is sent back.
  • Return Shipping: Return shipping costs are the responsibility of the customer unless the item received was damaged, defective, or incorrect.
  • Refunds: Approved refunds will be processed within 5–7 business days after the returned item is inspected. Refunds are issued through the original payment method.
  • Exchanges: If you wish to exchange an item, please contact us to confirm availability via our official EYS WhatsApp / call on +254 726 522 108.