Availability: Out of Stock

KISWAHILI DADISI – MAZOEZI YA LUGHA DARASA LA 2, KITABU CHA MWANAFUNZI

Author: Francis Waititu
SKU: 9780195746839

Kshs 336.00

ISBN : 9780195746839

Published : N/A

Author : Francis Waititu

Publisher : Oxford University Press

Size :

Weight : N/A

Out of stock

Description

Mazoezi ya Lugha Gredi 2
Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masualaibuka.

Katika Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 2, utapata:
• mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya
• mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika
• mazoezi nje ya darasa ili kuendeleza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji
• mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
• jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji.

1 x KISWAHILI DADISI – MAZOEZI YA LUGHA DARASA LA 2, KITABU CHA MWANAFUNZI