Availability: In Stock

KISWAHILI DADISI MAZOEZI YA LUGHA GREDI 1

SKU: 9780195746822

Kshs 296.00

ISBN : 9780195746822

Published : N/A

Language : Swahili

Publisher : Oxford University Press

Size :

Weight : N/A

4 in stock

Description

Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masualaibuka.

Katika Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 1, utapata:

  • mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya
  • mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika
  • mazoezi nje ya darasa ili kuendeleza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji
  • mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
  • jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji.
  •  

1 x KISWAHILI DADISI – MAZOEZI YA LUGHA – KISWAHILI LANGUAGE ACTIVITIES PB 1