Availability: In Stock
KISWAHILI DADISI – MAZOEZI YA LUGHA – KISWAHILI LANGUAGE ACTIVITIES PB 3
Author: Francis Waititu
SKU: 9780195746846Kshs 342.00
Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lughani msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masualaibuka.
Katika Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 3, utapata:
- mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya
- mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika
- mazoezi nje ya darasa ili kuendeleza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji
- mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
- jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji.
ISBN : 9780195746846
Published : N/A
Author : Francis Waititu
Publisher : Oxford University Press
Size :
Weight : N/A
4 in stock