Availability: In Stock

KISWAHILI DADISI WORKBOOK GRADE 1

SKU: 9780195747362

Kshs 383.00

ISBN : 9780195747362

Published : N/A

Publisher : Oxford University Press

Size :

Weight : N/A

69 in stock

Description

Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika mfumo mpya wa umilisi. Vitabu hivi vinaelekeza kikamilifu kufanya mazoezi ya lugha kwa njia ya kufurahisha na kuelimisha. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa msingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani.

Kitabu hiki:
• Kimeandikwa kwa kufuata mada zote kwenye silabasi
• Kina mazoezi mengi ya kufurahisha na kuelimisha ambayo mwanafunzi anaweza kufanya ili kujenga umilisi katika kila mada.
• Kina tathmini tamati ambayo mwanafunzi anaweza kufanya ili kukadiria umilisi wa jumla kwa mada zote.

 

1 x KISWAHILI DADISI WORKBOOK GRADE 1

 

+