KISWAHILI MUFTI KITABU CHA MWANAFUNZI – GREDI YA 3
Kshs 515.00
Longhorn Kiswahili Mufti ni kitabu kilichoandikwa kwa mtindo wa mazoezi kwa kuzingatia mtaala mpya unaokusudiwa kujenga ujuzi wa mwanafunzi kupitia utendaji na uvumbuzi wa maarifa. Kitabu hiki kimetimiza kikamilifu mahitaji ya mada zote za silabasi mpya ya somo la Kiswahili kwa wanafunzi wa gredi ya kwanza. Vilevile, kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha rahisi ili kueleweka kwa urahisi na wanafunzi wa gredi ya kwanza kutoka katika mazingira mbalimbali. Msamiati uliotumika unaafikiana vyema na uwezo wa lugha ya wanafunzi katika kiwango hiki. Kimeshughulikia masuala ibuka kama vile: maadili, haki za watoto, usafi na afya, utangamano, maarifa ya ujasiriamali, elimu ya maendeleo endelevu, jinsia, teknolojia na mazingira. Pia, michoro ya kuvutia imetumiwa ili kumsaidia mwanafunzi kufahamu yaliyomo kwa urahisi na kuweza kuyahusisha maarifa na mazingira yake.
ISBN : 9789966640048
Published : N/A
Author : Wallah N. J. Wallah
Language : Swahili
Main Material : Paperback
Publisher : Longhorn Publishers
Size :
Weight : N/A
36 in stock