Availability: In Stock
KIVULI CHA NDOTO
SKU: 9780195738308
Kshs 359.00
Hii ni novela changa iliyoandikwa na Kenna Wasike na kuchapishwa na Oxford University Press, Nairobi. Hadithi hii ya Mhusika Kezi Pasuamende inaangazia hali inayompitikia mtu baada ya ndoto zake halisi kufa na kufukiwa katika kaburi la mapuuza. Hadithi hii iliyoandikwa kwa nafsi ya tatu ina utamu wa lugha wa aina yake
ISBN : 9780195738308
Published : N/A
Author : Kenna Wasike
Language : Swahili
Main Material : Paperback
Publisher : Oxford University Press
Size :
Weight : N/A
1 in stock