Availability: In Stock
Kurunzi Ya Kiswahili Gredi Ya 2
SKU: 9789966573728
Kshs 696.00
Kshs Loading...
Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi yo Pili kimeandaliwa kwa ustadi ili kumwezesha. mwanafunzi kumudu mtaala mpya 2017 unaolenga umilisi kwa njia sahili, yenye mvuto na ya kumjumuisha moja kwa moja kwenye shughuli za ufunzaji.
Sifa za kitabu hiki:
- Kimeshughulikia mada kwa namna ambayo inamwezesha mwanafunzi kushiriki kikamilifu katika ujifunzaji.
- Mada na shughuli za darasani zimeteuliwa kwa uangalifu kumjengea mwanafunzi umilisi wa aina mbalimbali.
- Kuna mazoezi na mijarabu anuwai (mazoezi, shughuli kwa mwanafunzi, miradi, mijarabu ya mwisho wa mada) kumwezesha mwalimu kupima umilisi wa mwanafunzi wa stadi mbalimbali za lugha.
- Picha halisi na michoro ya kuvutia zinazosaidia katika uelewa wa mada.
- Kinalenga kumsaidia mwanafunzi kutumia wifaa vya tekrrolojia kama vile video, redio, tabuleti katika kurahisisha ujifunzaji.
- Mbinu tofauti za ufunzaji zimejumuishwa kama vile miradi shambani, shughuli nje ya darasani katika jamii (shambani, dukani, sokoni, usafi), kumwalika mgeni (wa usalama, usafi, mtaalamu), kutumia nyimbo, mashairi, kumhusisha mzazi au mlezi, uchoraji na ujifunzaji katika vikundi. Mbinu hizi zinasaidia kujenga umilisi wa mwanafunzi.
- Masuala mtambuko na kuhusisha maadili kujenga mada tofauti imeshughulikiwa.
- Kitabu cha mwalimu kipo ili kumpa mapendekezo katika ufunzaji.
-
ISBN : 9789966573728
Published : N/A
Language : Swahili
Size :
Weight : N/A
41 in stock
Delivery Information
We strive to ensure all orders are processed and delivered promptly.
- Order Processing: Orders are processed within 1–2 business days upon confirmation of order & payment.
- Delivery Timeline: Standard delivery typically takes 1–3 business days, depending on your location and courier availability.
- Shipment Updates: Once your order is dispatched, our sales agent shall contact you regarding the progress of your delivery.
- Delays: While we aim to deliver on time, unforeseen delays may occur due to customs clearance, courier challenges, or external factors. We will keep you updated should any delays arise.
Returns & Exchanges
We value your satisfaction and aim to make returns as smooth as possible.
- Eligibility: Items may be returned within 7 days of delivery, provided they are unused, in original packaging, and accompanied by proof of purchase.
- Non‑Returnable Items: Certain items such as story books / novels, offer / clearance products, personalized orders cannot be returned.
- Return Approval: All return requests must be reviewed and approved by our team before the item is sent back.
- Return Shipping: Return shipping costs are the responsibility of the customer unless the item received was damaged, defective, or incorrect.
- Refunds: Approved refunds will be processed within 5–7 business days after the returned item is inspected. Refunds are issued through the original payment method.
- Exchanges: If you wish to exchange an item, please contact us to confirm availability via our official EYS WhatsApp / call on +254 726 522 108.
Sign in
Create an Account
Shopping cart
close

