Availability: In Stock
MAKOMBE MATUPU
SKU: 9789966498779
Kshs 336.00
Makombe Matupu na Hadithi Nyingine (Utamu Kolea 6C) ni kitabu kinachonuiwa kumpa mwanafunzi fursa ya kufanya mazoezi ya kusoma kwa ziada huku akijiburudisha na kujifunza mambo kadhaa muhimu. Kinaweza kutumiwa sambamba na kitabu chochote cha kozi.
ISBN : 9789966498779
8 in stock