Makumba Katika Safari Ya Tonge
Kshs 371.00
Kshs Loading...
Maji yaliwasomba Makumba na babuye pamoja na kinyesi na kuwarusha ndani ya shimo kubwa Makumba na babu yake walianguka pul ndani ya shimo lilitosheheni kinyesi. Walipoanguka, kinyesi zaidi kiliwaangukia na kuwafunika. Je watatengana na dunia? Msururu wa Makumba ni novela bunilizi za kisayansi za kusisimua ambazo zinatol sayari mwili wa binadamu, ndani ya mimea na hata ndani ya ncha ya kalamu, Dirt. Hamisi Babusa ni mhadhiri wa Kiswahili na Taaluma ya ufundishaji Lugha Hatika Chuo Kikuu cha Kenyatta. Ni mwandishi ambaye amechangia katika nyuga mbalimbal/za uandishi bunilizi na za kiakademia. Miongoni mwa kazi zake nyingine ni Makumba katika safari ya Mawimbi, Malumba katika safari ya Tonge, Makumba na Majanabi na Makumba na Selidamu Nyeupe.
ISBN : 9789966115065
7 in stock
Delivery Information
We strive to ensure all orders are processed and delivered promptly.
- Order Processing: Orders are processed within 1–2 business days upon confirmation of order & payment.
- Delivery Timeline: Standard delivery typically takes 1–3 business days, depending on your location and courier availability.
- Shipment Updates: Once your order is dispatched, our sales agent shall contact you regarding the progress of your delivery.
- Delays: While we aim to deliver on time, unforeseen delays may occur due to customs clearance, courier challenges, or external factors. We will keep you updated should any delays arise.
Returns & Exchanges
We value your satisfaction and aim to make returns as smooth as possible.
- Eligibility: Items may be returned within 7 days of delivery, provided they are unused, in original packaging, and accompanied by proof of purchase.
- Non‑Returnable Items: Certain items such as story books / novels, offer / clearance products, personalized orders cannot be returned.
- Return Approval: All return requests must be reviewed and approved by our team before the item is sent back.
- Return Shipping: Return shipping costs are the responsibility of the customer unless the item received was damaged, defective, or incorrect.
- Refunds: Approved refunds will be processed within 5–7 business days after the returned item is inspected. Refunds are issued through the original payment method.
- Exchanges: If you wish to exchange an item, please contact us to confirm availability via our official EYS WhatsApp / call on +254 726 522 108.

