Marafiki wa Pela
Kshs 150.00
Kshs Loading...
Pela anawapenda wanyama. Siku moja mvua kubwa inanyesha na kuangusha mti mkubwa nje ya nyumba yao. Asubuhi Pela anatengeneza nyumba kutokana na matawi na majani ya mti huu na kuwaalika marafiki wakeโNdege, Kuku, Paka na Mbwa. Asichojua ni kuwa hawa marafiki hawawezi kukaa pamoja, jambo linalomhuzunisha sana.
ย
ISBN : 9789966472083
Published : 31 Jul 2022
Author : Nyambura Mpesha
Publisher : Phoenix Publishers
Language : Swahili
Main Material : Paperback, Paperback softback
Size : 178 x 127 (mm)
Weight : 27g
3 in stock

