Availability: In Stock

MENDE MDOGO

SKU: 126014689

Kshs 170.00

Mende amebahatika kukutana na mganga anayeweza kumbadilisha kuwa chochote kile .Anafanywa panya lakini anataka kuwa mbwa.Anafanywa mbwa lakini karibuni anataka kuwa chui.kisha anataka hkuwa binadamu.Mganga anapositasita chui aliyekuwa mbwa,aliyekuwa mbwa,aliyekuwa paka,aliyekuwa panya,anatisha kumla.Ni kipi kitatokea?

ISBN : 126014689

3 in stock