Availability: In Stock

NGANO ZA MASHAIRI

SKU: 9789966342386

Kshs 260.00

Ngano za Mashairi ni mkusanyo wa hadithi fupifupi za kuchangamsha. Kila hadithi inafuatwa na shairi rahisi la kusisitiza yaliyosimuliwa. Pamoja na kuburudisha, hadithi zilizomo zinatoa mafunzo muhimu kwa wasomaji.

ISBN : 9789966342386

Published : N/A

Author : Ng'ang'a

Language : Swahili

Main Material : Paperback

Publisher : Moran (E.A.) Publishers Limited

Size :

Weight : N/A

11 in stock