Availability: In Stock
Nyumba ya Sungura
SKU: 9789966472090
Kshs 175.00
Sungura amejenga nyumba maridadi ili aweze kufanyia harusi yake humo. Lakini kuna adui aliyekatalia ndani. Anatafuta usaidizi wa wanyama wenzake lakini wanashindwa kumfukuza. Atafanya nini?
ISBN : 9789966472090
Published : 31 Jul 2022
Author : Njiru Kimunyi
Language : Swahili
Main Material : Paperback, Paperback softback
Publisher : Longhorn Publishers, Phoenix Publishers
Size : 178 x 127 (mm)
Weight : 50g
8 in stock