Availability: In Stock
NYUNGUNYUNGU NA KONOKONO… UTAMU ULIOJE!
SKU: 9789966001771
Kshs 420.00
Aoko and Ooko ni wanakunguru wawili wanaopenda vyakula anavyowaletea mama yao. Vyakula hivi ni minyoo, konokono wenye kamasi na mbuu wanaonuka. Lakini wakila chakula kingi, watajifunza kuruka? Hadithi hii ya kusisimua imeandikwa kwa ukarara ili usomaji uwe wa kuvutia zaidi.
ISBN : 9789966001771
Published : N/A
Author : Millie Dok
Language : Swahili
Main Material : Paperback
Publisher : Storymoja Africa
Size :
Weight : N/A
3 in stock