Availability: Out of Stock
PANYA MJANJA NA KIRUKI
SKU: 126015838
Kshs 150.00
Panya na Kirikuu ni kitabu kinachozindua msururu wa Vituko vya Panya. Panya, mgeni asiyetarajiwa, anafika nyumbani na kumkuta Kirikuu akicheza. Kirikuu yupo nyumbani peke yake. Kirikuu anaogopa panya sana. Panya anaingia ndani ya nyumba. Ni mtundu. Kirikuu atafanyaje? Yahya Mutuku ana uzoefu mkubwa wa kuandika vitabu vya fasihi ya watoto. Msururu huu ni thibitisho kwamba anaelewa mahitaji ya soko katika taaluma ya uandishi.
ISBN : 126015838
Out of stock