Availability: In Stock
PESA ZA SUKI
SKU: 9789966347961
Kshs 260.00
Suki ni mwanafunzi wa darasa la sita. Alikuwa akijiwekea akiba ili anue kitabu cha picha za wanyamapori wakati wa likizo. Kabla ya siku ya kwenda kununua kitabu fika, tukio la ajabu linatokea. Mwizi anaingia nyumbani kwa kina Suki na kuiba kisanduku cha Suki cha kuhifadhia pesa na vitu vingine. Askari polisi wanaarifiwa kuhusu wizi huo, lakini hawafanikiwi kumkamata mwizi. Suki anaamua kufanya upelelezi ili ajue ni nani aliyeiba kisanduku chake. Je, atafanikiwa?
ISBN : 9789966347961
Published : N/A
Author : Timothy Omusikoyo
Language : Swahili
Main Material : Paperback
Publisher : Moran (E.A.) Publishers Limited
Size :
Weight : N/A
13 in stock