Availability: In Stock

SHELA NYEKUNDU

SKU: 9780241331880

Kshs 300.00

Hadithi za ‘Ladybird’ zimesimuliwa kwa kuzingatia mikusanyiko ya hadithi za ‘Well-Loved Tales’ ambazo zinapendwa na wasomaji wengi sana.

Hadithi hizi za kipekee zimepambwa michoro maridadi ambayo inaleta ubora na uhondo wa masimulizi ya Ladybird kwa wasomaji wa kizazi kipya. Watoto kutoka kizazi hadi kizazi wamependa sana hadithi hizi, na watapata burudani kwa kuzisoma pamoja.

  • Readership: contemporary fiction storybooks
  • Format: Hardback | 48 pages

ISBN : 9780241331880

Published : N/A

Author : Ladybird Swahili

Color : Red

Color Family : Gray, Pink, Red

Language : Swahili

Main Material : Hardback

Publisher : Ladybird Books

Size :

Weight : 222.26g

50 in stock