Availability: In Stock

Si Kitu

SKU: 9780195738018

Kshs 481.00

Kshs Loading...

Wote wawili, Sofi na Sali, walikuwa katika nyumba He He wakiwa wamefichwa: mmoja akiitunza siri na kutunzwa kisiri huku mwingine akiteswa kisiri kwa sababu ya siri.

Chaanasa anakabiliwa na utata kuhusu maisha yake. Hawafahamu wazazi wake, wala hajui ikiwa bado wanaishi. Anayeijua historia yake naye anaifanya kuwa siri kubwa; siri ambayo anaihifadhi katika moyo – kiungo kidogo tu – ili kumlinda Chaanasa. Je, siri yenyewe inahusu nini kiasi cha kutunzwa, na mtu kuteswa? Je, Chaanasa atafanya juhudi kuibaini au atayaona hayo kuwa si kitu?

Shullam Nzioka ni mwandishi chipukizi anayedhihirisha umilisi wake wa lugha ya Kiswahili kupitia hadithi hii iliyosukwa kwa mtindo utakaomvutia msomaji hadi hatima ya kisa chenyewe. Hiki ni kitabu chake cha kwanza kuwahi kuchapishwa.

 

ISBN : 9780195738018

Published : N/A

Author : Shullam Nzioka

Language : English

Main Material : Paperback

Publisher : Oxford University Press

Size :

Weight : N/A

3 in stock

Delivery Information

We strive to ensure all orders are processed and delivered promptly.

  • Order Processing: Orders are processed within 1–2 business days upon confirmation of order & payment.
  • Delivery Timeline: Standard delivery typically takes 1–3 business days, depending on your location and courier availability.
  • Shipment Updates: Once your order is dispatched, our sales agent shall contact you regarding the progress of your delivery.
  • Delays: While we aim to deliver on time, unforeseen delays may occur due to customs clearance, courier challenges, or external factors. We will keep you updated should any delays arise.

Returns & Exchanges

We value your satisfaction and aim to make returns as smooth as possible.

  • Eligibility: Items may be returned within 7 days of delivery, provided they are unused, in original packaging, and accompanied by proof of purchase.
  • Non‑Returnable Items: Certain items such as story books / novels, offer / clearance products, personalized orders cannot be returned.
  • Return Approval: All return requests must be reviewed and approved by our team before the item is sent back.
  • Return Shipping: Return shipping costs are the responsibility of the customer unless the item received was damaged, defective, or incorrect.
  • Refunds: Approved refunds will be processed within 5–7 business days after the returned item is inspected. Refunds are issued through the original payment method.
  • Exchanges: If you wish to exchange an item, please contact us to confirm availability via our official EYS WhatsApp / call on +254 726 522 108.