Availability: In Stock

SOMA NASI, KUSOMA NA KUANDIKA KISWAHILI – KISWAHILI LITERACY PUPIL’S BOOK 1

SKU: 9780195746945

Kshs 429.00

ISBN : 9780195746945

Published : N/A

Language : Swahili

Publisher : Oxford University Press

Size :

Weight : N/A

3 in stock

Description

Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 1
Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.

Katika Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 1, utapata:

• mada zilizopangwa kwa kuzingatia mtalaa mpya
• mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika
• mazoezi nje ya darasa ili kuendeleza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji
• mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
• jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji
• sehemu ya ‘Tujifurahishe’ inayolenga kuwasisimua wanafunzi wanapotumia lugha.

1 x SOMA NASI, KUSOMA NA KUANDIKA KISWAHILI – KISWAHILI LITERACY PUPIL’S BOOK 1