Availability: In Stock

SOMA NASI, KUSOMA NA KUANDIKA – KISWAHILI LITERACY PB 3

SKU: 9780195746969

Kshs 441.00

Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.


Katika Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 3, utapata:

  • mada zilizopangwa kwa kuzingatia mtalaa mpya
  • mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika
  • mazoezi nje ya darasa ili kuendeleza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji
  • mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
  • jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji
  • sehemu ya ‘Tujifurahishe’ inayolenga kuwasisimua wanafunzi wanapotumia
  • lugha.

ISBN : 9780195746969

Published : N/A

Author : Hellen Inyega

Publisher : Oxford University Press

Size :

Weight : N/A

2 in stock