STADI ZA KISWAHILI GREDI YA 5
Kshs 592.00
Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Umilisi. Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo:
• Kimeandikwa kwa Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya 5.
• Maswali dadisi yametumiwa kutanguliza dhana zilizomo.
• Kimejumuisha shughuli za mwanafunzi binafsi, shughuli za wanafunzi wawiliwawili na za makundi ya wanafunzi.
• Kimeshughulikia masuala makuu yote kwa mujibu wa ruwaza ya Kiswahili cha Gredi ya 5
• Kimejumuisha mada kuu na mada ndogo zote.
• Yaliyomo yamepangwa kulingana na ruwaza ya Kiswahili cha Gredi ya 5.
• Yaliyomo yamewasilishwa kwa ubunifu wa kiwango cha juu.
• Kimeshughulikia matokea maalum yanayotarajiwa katika Gredi ya 5.
• Kimejumuisha umilisi wa kimsingi kwa mujibu wa Mtaala wa Umilisi.
• Kimeshughulikia masuala mtambuko yote.
• Yaliyomo yanakuza maadili yanayopendekezwa katika Mtaala wa Umilisi.
• Shughuli za ujifunzaji zinakuza stadi za kusikiliza na kuzungumza, kusoma na kuandika
• Michoro na picha za rangi zinachangia yaliyomo kueleweka kwa urahisi.
• Maandishi makubwa na ya rangi mbalimbali yanasomeka kwa urahisi.
Haya na mengine mengi yanadhamiriwa kumwezesha mwanafunzi wa Gredi ya 5 kuwasiliana kwa Kiswahili sanifu katika mazingira mbalimbali.
ISBN : 9789966632937
Published : N/A
Author : Kibandi
Language : Swahili
Publisher : Moran (E.A.) Publishers Limited
Size :
Weight : N/A
9 in stock