TUKI SWAHILI-ENGLISH DICTIONARY
Kshs 1,650.00
KAMUSI YA KISWAHILI-KIINGEREZA
Hili ni Toleo la Pili la Kamusi ya Kiswahili Kiingereza. Toleo la Kwanza lilichapishwa mwaka 2001. Mara baada ya kuchapishwa kwa Toleo la Kwanza la kamusi hii, wataalamu wa Leksikografia wa Taasisi ya Taaluma za Kiswahili. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam walianza zoezi la kutafuta maoni ya watumiaji wa Toleo la Kwanza la kamusi hii. Maoni ya watumiaji mbalimbali wa Toleo hilo kutoka ndani na nje ya nchi yalipokelewa na kufanyiwa kazi. Aidha, kamusi hii imepitiwa na kuhakikiwa na wataalamu wa lugha na isimu kutoka vyuo vikuu mbalimbah vya Tanzania na Kenya. Udurusu wa Toleo la Pill ulianza mwaka 2004 na kukamilika mwaka 2014. Kamusi hii itawafaa sana wanafunzi na walimu wa sekondari na vyuo, watafiti, wataalamu na wazungumzaji wa lugha za Kiswahili na Kiingereza. Imesheheni methali za Kiswahili na visawe vya Kiingereza, vinyambuo vya vitenzi vimefafanuliwa na mifano mingi ya matumizi imetolewa
SWAHILI-ENGLISH DICTIONARY
This is the Second Edition of Swahili-English Dictionary. The First Edition was published in 2001. After the publication of the First Edition of this dictionary. Lexicographers from the Institute of Kiswahili Studies started to seek views from users. Views from different users from inside and outside Tanzania were received and incorporated. It was, moreover, reviewed and critiqued by language and linguistics experts from various universities in Tanzania and Kenya The revision of the Second Edition started in 2004 and completed in 2014. This dictionary is an indispensable reference tool for students and teachers in secondary schools and colleges, researchers and specialists and speakers of Kiswahili and English. It is full of Kiswahili proverbs with the equivalents in English, verb derivations have been given explanations and many usage examples are given.
ISBN : 9976911440
Published : N/A
Language : Swahili
Main Material : Paperback
Size :
Weight : N/A
19 in stock