Availability: In Stock
UANDISHI BORA KWA SHULE ZA MSINGI
SKU: 9789966347312
Kshs 525.00
Uandishi Bora kwa Shule za Msingi ni kitabu cha kipekee kwani kinamwelekeza mwanafunzi kuandika vyema na kwa hati safi kwanzia herufi, silabi, neno, kirai, sentensi, aya hadi insha kamili. Mchakato mzima wa uandishi wa insha pia umeangaziwa kwa kutilia maanani mambo ya kimsingi ambayo huchukuliwa na waandishi wengi kuwa wanafunzi wanayaelewa.
ISBN : 9789966347312
Published : N/A
Author : Mwalimu Kipande
Language : Swahili
Main Material : Paperback
Publisher : Moran (E.A.) Publishers Limited
Size :
Weight : N/A
15 in stock