Availability: In Stock
VIOJA VYA MUSA
SKU: 9789966342492
Kshs 315.00
Fumbo Musa ni kijana anayetoka katika familia maskini. Hata hivyo, mwajiri wa baba yake anaamua kumlipia karo ili asomee shule ya bweni ya Kaachonjo. Shuleni anakumbwa na hali ngumu kwa kuwa wanafunzi wengi wanatoka katika familia za walalaheri. Je, Musa ataepuka hali hizo?
ISBN : 9789966342492
Published : N/A
Author : Mogambi
Language : Swahili
Main Material : Paperback
Publisher : Moran (E.A.) Publishers Limited
Size :
Weight : N/A
7 in stock