Availability: In Stock

ZAWADI YA THAMANI

SKU: 9789914442847

Kshs 423.00

Je, hatima ya maisha ya Nadia ni ipi? Ni zawadi gani ya thamani itakayomwokoa? Je, ni kujiamini kwake au ni ubunifu wake? Je, ni huruma au hisani yake? Je, ni shajara yake inayosema yale ambayo moyo wake unachelea kuyasema? Au labda ni Mwalimu Daniela ambaye amefanikiwa kukitegua kitendawili cha maisha yake?

 

‘Zawadi ya Thamani’ ni hadithi ambayo imesimuliwa kwa lugha nyepesi yenye ubunifu na mvuto mkuu. Upekee wa hadithi hii umo katika uwezo wayo wa kumteka msomaji kuanzia mwanzo hadi mwisho, na wakati uo huo kumpa mafunzo anuwai kuhusu namna ya kukabiliana na changamoto za maisha. Hadithi hii imeangazia masuala mtambuko mbalimbali na kusawiri maadili yanayopendekezwa katika Mtaala wa Daraja ya Awali ya Shule za Sekondari.

 

ISBN : 9789914442847

1 in stock

Category: