Availability: Out of Stock

KISWAHILI DADISI LANGUAGE ACTIVITIES PB 4

SKU: 9780195747867

Kshs 464.00

Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu hivi
vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.


Katika Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 4, utapata:
• mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya.
• mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika.
• mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na yale yenye kuwashirikisha katika shughuli za kijamii
zinazokuza ujifunzaji.
• mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja.
• jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji.
• vifungu vya kumburudisha na kumfikirisha mwanafunzi katika sehemu ya ‘Burudika’.

 

ISBN : 9780195747867

Published : N/A

Author : David Wafula, Evans Osoro, Francis Waititu, Jackline Ndege, Pauline Kea, Zephania Mucheria

Publisher : Oxford University Press

Size :

Weight : N/A

Out of stock